Quality Education for Quality Life

Tuesday, December 1, 2015

KARIBU LUSHOTO SEKONDARI - Welcome at Lushoto Sec.

Karibu Lushoto, - Welcome at Lushoto,


Karibu sekondari ya lushoto, - welcome to Lushoto secondary,


Karibu ujionee,ujifunze, - Welcome to see for yourself, learn,

Wa mbali wajulishe, - Notify distant one,

Mazingira safi, tulivu, - Clean environment, quiet,

Tena ya kupendeza na kuvutia, - For pleasant and interesting,

Hali ya hewa maridhawa, - Weather profusion,

Watu wakalimu, waungwana, - People given to hospitality, courtesy,

Wanafunzi bora, - Best students,

Tabia njema, nidhamu njema, - Mannered, good discipline,

Kisiwa cha maarifa, elimu kwa vitendo, - Excellence knowledge, education by doing,

Kujituma kwingikwingi, - More and more commitment,

Elimu hapa kipaumbele, - Here, education is priority,

Tena elimu bora, maisha bora, - Oh good education, quality of life,

Mafanyikio dira yake, - Successful, its vision,

Teknolojia, jicho lake, - Technology, its eye,

Maadili, kujitolea, - Values, commitment,

Dhahili, ka vazi lake, - Absolute, as its own gown,

Karibu, karibu, - Welcome, welcome,

Karibu, jionee, - Welcome, to see,

Urudipo, katu usiache, - On return, never do not,

Mazuri, wengine 'hadithia. - Good news, tell others.

1 comment:

  1. Najivunia Kuwa Hapo Kama Mwanafunzi. Mazingira Mazuri ya Kusomea na Ari ya Walimu ni Vitu Ambavyo Nakili Kwamba Ndo Vimenifikisha Hapa Nilipo.

    Nitaikumbuka Lushoto Secondary Miaka Yote. Nitawakumbuka Walimu na Wafanyakazi Wasio Walimu Sana Kwa Msaada Wao.

    Nitumie Fursa Hii Pia Kuhamasisha Mtu au Taasisi Yeyote Yenye Nia ya Kutoa Msaada Wowote Kwa Shule.
    Nakumbuka Baadhi ya Changamoto Kama Shule ya Wazazi Bado Ina Changamoto Kadhaa Kama.
    -Uhaba wa Nyumba za Walimu
    . -Uhaba wa Walimu wa Sayansi.
    -Uhaba wa Vifaa vya Science
    -Uhaba wa Maktaba
    -Uhaba wa Maji.

    In English.

    I am proud to be student of that school between 2007-2010. Currently am third year student at University of Dar es Salaam.

    The School is endowed with incredible learning environment with eager teachers. When I was there, Priceless Support of both teachers and non teachers is unforgetable to me.

    However, as stakeholder now.. I can't end my comment on memotizing only But I would to use this opportunity to invite individuals and any organization wishing to support educational development. Based on my experience, the school still offer challenges more specifically:-
    -inadequacy residential houses for teachers.
    -lack of enough science teachers especially Physics
    -lack of enough science subject learning resources such as books, labaratory equipments.
    -lack of library

    And any other. Since the school is open all the time, any individual or organization may visit school to learn more.

    Mungu Ibariki Tanzania.
    Mungu Ibariki Lushoto Secondary School

    ReplyDelete