Quality Education for Quality Life

Tuesday, September 19, 2017

SANAA ZA NYIMBO, NGOMA NA MAIGIZO - LUSHOTO SEKONDARI

Mbali na kujibidiisha katika masomo ndani darasani, pia vijana wetu wanavipaji na uwezo wa mambo nje ya darasani. Katika nyanja za sanaa za maonesho (maonyesho), baadhi ya wanafunzi wamejipambanua kiuwezo katika maigizo, kucheza, ngoma, mitindo ya mavazi ya kada tofauti tofauti na uimbaji.

Hivyo katika shughuli za burudani kama siku ya maonyesho ya kitaaluma na siku ya mahafali ama kukaribisha ugeni rasmi hapa shuleni, vijana hawa wamekuwa wakifanya vizuri katika sanaa na vipaji walivyonavyo kwa dhima ya kuburudisha, kuonya na kuelimisha.

Katika picha . . . ni baadhi ya matukio ya sanaa za maonesho / maonyesho yaliyofanywa na wanafunzi:


MAIGIZO


NGOMA







MITINDO
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu

Onesho la mtindo / vazi la Kiongozi wa kidini - kikristo

Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu na Kiongozi wa kidini - Kiislam

Onesho la mtindo / vazi la Hijab ..... mtu mcha Mungu - Muislam

Onesho la mtindo / vazi la Uuguzi - Muuguzi (Mtumishi sekta ya Afya)

Onesho la mtindo / vazi laKimasai - Utamaduni jamii ya Maasai

Onesho la mtindo / vazi la Kitenge - Mishono ya nguo za Vitenge

Onesho la mtindo / vazi la vitenge - na mavazi ya wasichana (ya heshima)

Onesho la mtindo / vazi la khanga - mavazi ya nyumbani



Onesho la mtindo / vazi la kijana - kijana wa kiume

Onesho la mtindo / vazi la mhudumu wa vinywaji

Onesho la mtindo / vazi la mkulima

Washiriki wa mavazi na mitindo wakimalizia onyesho lao kwa pamoja


NYIMBO


Kijana Nicholaus akionyesha uwezo na kipaji chake cha kucheza mziki kwa kujinyonga nyonga maarufu kama " Shaking Body''

* * * * * * * * *  

0 comments:

Post a Comment