Quality Education for Quality Life

QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE

The appearance of administrative buildings, classrooms, assembly ground and a smartness gardens with beautiful flowers.

QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE

This is a place where scientific experiments are done.Science subject's teachers and students, meets here and learn by doing.It is a one among three rooms of new laboratories.

QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE

STAFF ROOM: All teachers meets here to relax,to do academic debates,to organize their daily activities related to their profession and planning on how to facilitate their youths (students).

QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE

AT CLASSROOM: students in the classroom, sitting calmly and confortably; responding to do the work as instructed and facilitated by their teeacher.

QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE

SIDE VIEW: other classrooms- buildings, assembly ground and gardens of beautiful flowers.

Tuesday, September 19, 2017

SANAA ZA NYIMBO, NGOMA NA MAIGIZO - LUSHOTO SEKONDARI

Mbali na kujibidiisha katika masomo ndani darasani, pia vijana wetu wanavipaji na uwezo wa mambo nje ya darasani. Katika nyanja za sanaa za maonesho (maonyesho), baadhi ya wanafunzi wamejipambanua kiuwezo katika maigizo, kucheza, ngoma, mitindo ya mavazi ya kada tofauti tofauti na uimbaji.

Hivyo katika shughuli za burudani kama siku ya maonyesho ya kitaaluma na siku ya mahafali ama kukaribisha ugeni rasmi hapa shuleni, vijana hawa wamekuwa wakifanya vizuri katika sanaa na vipaji walivyonavyo kwa dhima ya kuburudisha, kuonya na kuelimisha.

Katika picha . . . ni baadhi ya matukio ya sanaa za maonesho / maonyesho yaliyofanywa na wanafunzi:


MAIGIZO


NGOMA







MITINDO
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu

Onesho la mtindo / vazi la Kiongozi wa kidini - kikristo

Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu na Kiongozi wa kidini - Kiislam

Onesho la mtindo / vazi la Hijab ..... mtu mcha Mungu - Muislam

Onesho la mtindo / vazi la Uuguzi - Muuguzi (Mtumishi sekta ya Afya)

Onesho la mtindo / vazi laKimasai - Utamaduni jamii ya Maasai

Onesho la mtindo / vazi la Kitenge - Mishono ya nguo za Vitenge

Onesho la mtindo / vazi la vitenge - na mavazi ya wasichana (ya heshima)

Onesho la mtindo / vazi la khanga - mavazi ya nyumbani



Onesho la mtindo / vazi la kijana - kijana wa kiume

Onesho la mtindo / vazi la mhudumu wa vinywaji

Onesho la mtindo / vazi la mkulima

Washiriki wa mavazi na mitindo wakimalizia onyesho lao kwa pamoja


NYIMBO


Kijana Nicholaus akionyesha uwezo na kipaji chake cha kucheza mziki kwa kujinyonga nyonga maarufu kama " Shaking Body''

* * * * * * * * *  

Saturday, August 12, 2017

FURAHA YA MKULIMA – LUSHOTO SEKONDARI



Mkulima huwa na furaha awajibikapo katika hatua zote za kilimo tangu kuandaa shamba / bustani, mbegu, kupanda, kutunza na kukuza mimea yake iwe katika ubora unaostahili; aidha furaha zaidi huwa wakati wa mavuno, kutumia ama kuuza kwa tija.




Hali hii haijifichi miongoni mwa wanafunzi – wanakikundi wa elimu ya kujitegemea (EK) na uzalishaji mali wa hapa shuleni. Kwa nyakati tofauti mbali na vipindi vyao vya darasani, pia wanafunzi hupata fursa ya kujifunza na kushiriki shughuli za ujasilia mali kwa vitendo.






Sasa ni wakati wa mazumo na mauzo, baada ya shughuli mbalimbali za upandaji, ukuzaji na utunzaji wa bustani. Mavumo yapatikanayo, uweza kugawiwa kwa wanafunzi na wanakikundi ama kuuzwa na fedha ipatikanayo kuweza kusaidia baadhi ya wanafunzi wenye uhitaji wa vifaa ya kujifunzia kama vile kununua madaftali, kalamu na nyakati nyingine fedha hizo hutumika kununua mbegu, madawa na vifaa vya bustanini kama vile mipira ya maji (kumwagilia), ndoo / madumu ya maji, nk.




Vijana hufurahia sana elimu hii shirikishi ya wakiwa darasani na wakiwa nje ya darasa kwa kazi za ujuzi zaidi.

FORM ONE CLASS OF 2017 – LUSHOTO SECONDARY SCHOOL


In January 2017, Lushoto secondary school registered about 111 students, where girls are 55 and boys are 56. These students are from different primary schools nearby Lushoto secondary, for instance Yoghoi primary school, Kwesimu primary school, Kitopeni primary school, Lushoto primary school (a.k.a Hazina primary school ), Mhelo primary school and Kwembago primary school.

With academic courage, morale, focus, prosperity and discipline, these students (Form one class of 2017, in groups of girls, boys and all gender respectively,) are appeared in different pictures below . . .





*****************************

Friday, June 2, 2017