Quality Education for Quality Life

Friday, June 2, 2017

MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI



Wakati Mataifa mbalimbali yanaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani yanayofikia kilele chake siku ya tarehe Juni 5 Juni, 2017, hapa shuleni (Sekondari ya Lushoto) walimu wa mazingira na wanafunzi rafiki wa mazingira bora, wameshirikiana katika kusafisha, kuandaa vitalu vya miti na kupanda baadhi ya miti kuzunguka eneo la shule.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ya shughuli zilizofanyika (katika picha) . . . .











0 comments:

Post a Comment