Quality Education for Quality Life

Saturday, October 29, 2016

KILA LA KHERI WATAHINIWA KIDATO CHA NNE 2016

Safari ya maisha ya kitaaluma ya vijana hawa.........naam inatariji kutia nanga punde wanapokwenda kuandika mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne Novemba mosi, 2016.
Ni baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari lushoto, wakijumuika kwa pamoja ili hali wakiwa na kumbukumbu na mada mbalimbali za kimasomo ambazo watatahiniwa nazo, wakisafisha thamani watakazotumia; sanjari na kuandaa vyumba vyao vya mitihani. 










UJUMBE KWAO
'' Katika kufanya mitihani, zingatia nidhamu binafsi, spidi ya kufanya mtihani, kumbukumbu, umakini, mantiki, kujitegemea na kujiamini; na kumbukuka kujiepusha na kupoteza muda, uzembe, uvivu, kulala, kukata tamaa na udanganyifu ''


Twawatakia kila la kheri katika mitihani yenu
 
Mungu awajaalie vijana wetu.................!

Mungu ibariki lushoto sekondari........... !

0 comments:

Post a Comment