QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE
The appearance of administrative buildings, classrooms, assembly ground and a smartness gardens with beautiful flowers.
QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE
This is a place where scientific experiments are done.Science subject's teachers and students, meets here and learn by doing.It is a one among three rooms of new laboratories.
QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE
STAFF ROOM: All teachers meets here to relax,to do academic debates,to organize their daily activities related to their profession and planning on how to facilitate their youths (students).
QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE
AT CLASSROOM: students in the classroom, sitting calmly and confortably; responding to do the work as instructed and facilitated by their teeacher.
QUALITY EDUCATION FOR QUALITY LIFE
SIDE VIEW: other classrooms- buildings, assembly ground and gardens of beautiful flowers.
Tuesday, January 30, 2018
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017-2018 LUSHOTO SEKONDARI
CSEE
2017 EXAMINATION RESULTS
S3721 LUSHOTO SECONDARY
SCHOOL
DIV-I = 0
DIV-II = 3 DIV-III = 10 DIV-IV = 26 DIV-0 = 6
Wednesday, January 17, 2018
SIKU YA KUANZA MITIHANI (NECTA) - WANAFUNZI KIDATO CHA NNE 2017 KATIKA PICHA
Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2017, ambao walikuwa watahiniwa wa mitihani ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2017.
DIWANI ALLY DAFFA ZIARANI SHULE YA SEKONDARI LUSHOTO
Akiambatana
na Watendaji wa serikali na idara ya Elimu, Diwani wa kata ya Lushoto, Mhe. ALLY
DAFFA leo alipata wasaa wa kutembelea shule na jumuiya nzima ya Lushoto Sekondari.
Monday, January 8, 2018
HAPPY NEW YEAR, HAPPY NEW SCHOOL UNIFORMS
The community of Lushoto Secondary School, are happy to wish all stakeholders (students, teachers, parents, sponsors, friends and friend of friends) happy new year with a lot of success and achievement especially in academic issues.
Wednesday, October 4, 2017
Tuesday, September 19, 2017
SANAA ZA NYIMBO, NGOMA NA MAIGIZO - LUSHOTO SEKONDARI
Mbali
na kujibidiisha katika masomo ndani darasani, pia vijana wetu
wanavipaji na uwezo wa mambo nje ya darasani. Katika nyanja za sanaa
za maonesho (maonyesho), baadhi ya wanafunzi wamejipambanua kiuwezo
katika maigizo, kucheza, ngoma, mitindo ya mavazi ya kada tofauti
tofauti na uimbaji.
Hivyo
katika shughuli za burudani kama siku ya maonyesho ya kitaaluma na
siku ya mahafali ama kukaribisha ugeni rasmi hapa shuleni, vijana
hawa wamekuwa wakifanya vizuri katika sanaa na vipaji walivyonavyo
kwa dhima ya kuburudisha, kuonya na kuelimisha.
Katika
picha . . . ni baadhi ya matukio ya sanaa za maonesho / maonyesho
yaliyofanywa na wanafunzi:
MAIGIZO
NGOMA
MITINDO
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu |
Onesho la mtindo / vazi la Kiongozi wa kidini - kikristo |
Onesho la mtindo / vazi la muumini ..... mtu mcha Mungu na Kiongozi wa kidini - Kiislam |
Onesho la mtindo / vazi la Hijab ..... mtu mcha Mungu - Muislam |
Onesho la mtindo / vazi la Uuguzi - Muuguzi (Mtumishi sekta ya Afya) |
Onesho la mtindo / vazi laKimasai - Utamaduni jamii ya Maasai |
Onesho la mtindo / vazi la Kitenge - Mishono ya nguo za Vitenge |
Onesho la mtindo / vazi la vitenge - na mavazi ya wasichana (ya heshima) |
Onesho la mtindo / vazi la khanga - mavazi ya nyumbani |
Onesho la mtindo / vazi la kijana - kijana wa kiume |
Onesho la mtindo / vazi la mhudumu wa vinywaji |
Onesho la mtindo / vazi la mkulima |
Washiriki wa mavazi na mitindo wakimalizia onyesho lao kwa pamoja |
NYIMBO
Kijana Nicholaus akionyesha uwezo na kipaji chake cha kucheza mziki kwa kujinyonga nyonga maarufu kama " Shaking Body'' |
*
* * * * * * * *