Pages

Friday, February 3, 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016 - WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI

Wafuatao ni wanafunzi waliofanya vizuri na kufaulu kwa kiwango cha divisheni ya pili na ya tatu (Division II & III) katika mitihani ya taifa ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2016.


Thursday, February 2, 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA - LUSHOTO SEKONDARI


Katika kuadhimisha wiki ya sheria nchini tanzania, wilaya ya lushoto na uongozi mzima ngazi ya mahakama ya lushoto; walipata wasaa wa kutembelea jumuiya ya sekondari ya lushoto.