
Marafiki wa Africa Mashariki –
Denmark ni jumuiya ya watu wenye kusaidia jamii za afrika mashariki
hasa katika shughuli za kijamii kama elimu, afya na maji. Marafiki
hawa kwa hapa tanzania, wameweza kufanya ushirika wa kusaidia taasisi
mbalimbali katika mkoa wa Tanga, nazo ni:

